Unahitaji apartment?

Unahitaji apartment?

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
kuna apartment mbili zinapangishwa, zipo mbweni ni nyumba mpya ziko katika hali nzuri sana, zina view nzuri sana hadi sasa natafuta kampuni inayoweza kupewa kazi ya kuzipangisha....kwa yeyote ani pm ama call +255714 227532.
Bei yetu ni 1500USD per unit

apartment for rent at mbweni in dar, there are new house, full furnished, they have enough space in front for parking and good garden, we are looking for customer and if you have a real estate company we can offer the work, contact me +255 714 22 75 32
Our rate is 1500UDS per unit
 
Attachments

  • 1a9b4d256669c134c639b2119eb96b5f.jpg
    1a9b4d256669c134c639b2119eb96b5f.jpg
    633.9 KB · Views: 402
  • 71b0a51a21fba096742136e8868bb01b.jpg
    71b0a51a21fba096742136e8868bb01b.jpg
    688.5 KB · Views: 341
Appartment zinapangishwa kiongozi
 
Mboa unatoa taarifu nusu nusu? acha ubwege wewe!!! elezea kitu watu waelewe!!!!
 
Mboa unatoa taarifu nusu nusu? acha ubwege wewe!!! elezea kitu watu waelewe!!!!

Aisee andreakalima very sorry ma friend naomba unisamehe sana wewe kama ni mhuni mfanyie mzazi wako huo uni....huwezi kunita ----- rafiki sisi wengine sio wahuni wa barabarani.....nita report kwa admin hili swala

Nilitegemea ungeomba kuuliza kama alivyofanya mwenzio na taarifa nusunusu kama ipi...weka taarifa yako unayohisi imekamilika....
Jifunze, nimetoa namba ya simu kama hujeelewa si upige....

Acha uswahili bwana hatufahamiani unatukana tu we vipi.....nitafanya kukutafatu kwa hili
 
Usichukie mkuu, achana nae huyo, tuambie bei mkuu labda tutaweza bei na sie tuje kuishi huko kwenye upepo mwanana.
 
Bei ni 1500USD ni 3 bedroom,living room cum dining, kitchen
Ziki full furnished
 
Usichukie mkuu, achana nae huyo, tuambie bei mkuu labda tutaweza bei na sie tuje kuishi huko kwenye upepo mwanana.

mnapangisha kwa muda gani? halafu exchange rate sijui ipo vipi sahvi.

Mkuu muda wa kupangisha unamaanisha malipo yake.
If so ni mwaka kaka rate ya change inafuatana but sio chini ya 1600Tsh
Nazani umenipata kaka
 
Mkuu muda wa kupangisha unamaanisha malipo yake.
If so ni mwaka kaka rate ya change inafuatana but sio chini ya 1600Tsh
Nazani umenipata kaka
sawa dada nimekupata vema, ahsante
 
amafumu: hiyo bei ya apartment iweke kwenye original post. Fanya kisasa zaidi.
 
amafumu: hiyo bei ya apartment iweke kwenye original post. Fanya kisasa zaidi.

Thanks mkuu nitafanys hivyo...na ninashukuru kuna watu wawili tumeanza kuongea nao bei ni makampuni.
 
Ingekuwa mnaweka kwa Tshs ingekuwa poa sana kk ila hili la Dollar sijui linaibukia wapi sikuhizi wakubwa...
 
Mboa unatoa taarifu nusu nusu? acha ubwege wewe!!! elezea kitu watu waelewe!!!!

andreakalima usidhani watu hawana matusi, wanayo zaidi ya hayona tena kubwa na mapya zaidii ya hayo yako madogo na ya zamani.
Ni ustaraabu tu wewe jamaa
... starabika mkuu!
 
Last edited by a moderator:
andreakalima usidhani watu hawana matusi, wanayo zaidi ya hayona tena kubwa na mapya zaidii ya hayo yako madogo na ya zamani.
Ni ustaraabu tu wewe jamaa
... starabika mkuu!

Nimemshangaa sana huyu jamaa kiukweli...unamtukana mtu humjui, kwenye mitandao...kwa wenzetu nje hili, angeishia jela tu huyo....tatizo exposure watu wanahisi kila mtu humu ndani ni lika yake...mitandao ya kijamii itumike kufanikisha ukuaji wa uchumi na si anavyofikilia huyu kiumbe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom