Unahitaji apartment?

Unahitaji apartment?

Aisee andreakalima very sorry ma friend naomba unisamehe sana wewe kama ni mhuni mfanyie mzazi wako huo uni....huwezi kunita ----- rafiki sisi wengine sio wahuni wa barabarani.....nita report kwa admin hili swala

Nilitegemea ungeomba kuuliza kama alivyofanya mwenzio na taarifa nusunusu kama ipi...weka taarifa yako unayohisi imekamilika....
Jifunze, nimetoa namba ya simu kama hujeelewa si upige....

Acha uswahili bwana hatufahamiani unatukana tu we vipi.....nitafanya kukutafatu kwa hili

Kuna watu hapa jf wana tabia za ajabu sana mkuu, ila achana nae tu.
 
kuna apartment mbili zinapangishwa, zipo mbweni ni nyumba mpya ziko katika hali nzuri sana, zina view nzuri sana hadi sasa natafuta kampuni inayoweza kupewa kazi ya kuzipangisha....kwa yeyote ani pm ama call +255714 227532.
Bei yetu ni 1500USD per unit

apartment for rent at mbweni in dar, there are new house, full furnished, they have enough space in front for parking and good garden, we are looking for customer and if you have a real estate company we can offer the work, contact me +255 714 22 75 32
Our rate is 1500UDS per unit
Sina tatizo lolote na biashara yako ila huu mtindo wa kuifanya nchi hii kama haina sarafu yake hapo ndipo ugomvi wangu ulipo, jamani hata biashara za ndani nazo ni lazima tufanye kwa foreign currency?
 
Sasa kiwango hicho cha 1,500$ ni kwa mwaka?
 
Sina tatizo lolote na biashara yako ila huu mtindo wa kuifanya nchi hii kama haina sarafu yake hapo ndipo ugomvi wangu ulipo, jamani hata biashara za ndani nazo ni lazima tufanye kwa foreign currency?

Mkuu najua unataka kujaribu kuwa mzarendo
Pili kwa research yangu ndogo wasomi wengi wanapokuwa madarasani ama wametoka kumaliza shule wanamawazo mengi sana ya kizarendo
Reality ni factor ya biashara duniani ni currency ya ile nchi unayo trade nayo hasa.
Unataka nikutajie Tsh1.650m?
Hii ni biashara huria huwezi hoji hilo mbona unalipia dstv kwa dolar na huoji, mbona unaenda mlimani city kulipia shopping kwa dolar
Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa dolar iko constant kwenye bidhaa ila fluctuations ya currency yetu inakufanya utumie dolar tu
Nikitaja dolar itasimama hata miaka 6 ikawa hiyo dolar 1500 ila nikiprice in tsh nitakuwa na mabadiliko ya kila wakati.
Mwisho ukiwa na elimu yako jaribu kuipeleka sokoni sasa itakusaidia sana mi pia zamani niliwaza hivyo lakini dunia imeniambia vingine kabisa
 
Mkuu, kama kuna sehemu nyingine dola inatumika ndio hatupaswi kulalamika? Bado tutalalamika tu kwa sababu sisi wenyewe tuna-earn shilingi kwa hiyo hizi dola zetu mnaishia kutukamua hadi tone la mwisho la damu. Na cha ajabu benki kuu walidai kuwa siyo kweli kwamba mtaani tunalazimishwa kulipia bidhaa kwa dola!
 
Eti jamani, sijui kwa nini benchmark yao ni dola....wanaumizaje sasa?!

Market price ni dolar kila bidhaa uliyonayo wewe sokoni sema ukitaja kwa tsh uwe tayari kupokea mabadiliko or price review ya mara kwa mara
Dollar ni fixed sasa hela zetu zinashuka na kupanda so tunaondoa huo usumbufu
Na kwa nini dollar ni kwa vile low material nyingi tuna import
Mfano nondo kama nilinunua dollar 10 itabaki kuwa dollar kumi ila tsh itabadilika hata mara 8
 
Swala hapa ni baadhi ya bizaa ambazo zinahitaji mikataba afu ni kubwa bora kutumia dollar kwa sababu kutakuwa na usumbufu wa kubadilisha mikataba
Na kubadirisha mkataba ni gharama pia ukumbuke
Usitumie kama nyumba tunazopanga kwa kutumia madalali wa mitaa

Nani aliekuambia dollar haishuki na kupanda mkuu? Labda haishuki kwa hela za madafu.
 
Swala hapa ni baadhi ya bizaa ambazo zinahitaji mikataba afu ni kubwa bora kutumia dollar kwa sababu kutakuwa na usumbufu wa kubadilisha mikataba
Na kubadirisha mkataba ni gharama pia ukumbuke
Usitumie kama nyumba tunazopanga kwa kutumia madalali wa mitaa

Market price ni dolar kila bidhaa uliyonayo wewe sokoni sema ukitaja kwa tsh uwe tayari kupokea mabadiliko or price review ya mara kwa mara
Dollar ni fixed sasa hela zetu zinashuka na kupanda so tunaondoa huo usumbufu
Na kwa nini dollar ni kwa vile low material nyingi tuna import
Mfano nondo kama nilinunua dollar 10 itabaki kuwa dollar kumi ila tsh itabadilika hata mara 8

Hapa umeangalia upande wa bidhaa yako tu...kuna ada za shule, some supplies kama laptop/computers na accessories zake...some consultants demand usd, hotel bills etc etc....kwa kifupi mna-dollarize uchumi wetu na kuipandisha thamani hiyo dola bila kujua (au mnajua ila ndio mnatukandamiziamo tu). Kumbuka the theory of supply and demand...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom