Unahisi ni wa darasa la ngapi?

kumbuka walikuja shule wasafi, na usafi wakakaguliwa ila mazingira ya shule ndio yamewafanya wawe na hiyo poda.
 
Basi shule hiyo ni vema darasa la kwanza wakavaa uniform nyeusi tiiii
 
Hakuna kwenda kucheza hadi hilo shati litakate
 
maskini hawa watoto wangefanye kama shule halina madawati halafu elimu bure duh serikali litazame hili kwa jicho pana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…