mf:
1. Arushaone nahic atakua ni mtu asiyenyoa ndevu. pia atakua anapenda kuvaa suti koti na suruar tofaut.
2. Mamndemi ni mmama mwenye watoto na mwenye staha ila akiwa humu anajiche2a
3 Mzizi mkavu na Mr Rocky ni wa2 wa makamo wanaejiheshimu sana
5. kiwatengu, Madame B hawa wanapenda kujirusha wengine 2taendelea.
no kila mmoja anapenda kujirusha kwa wakat wake sio wote
we ni mbebs wa ukweli..
Wengine hata nashindwa ku-imagine wako vipi.