Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,701
- 40,901
wewee... Usiseme kwa sauti thatha utaonwa.
na nionwe tu
wewee... Usiseme kwa sauti thatha utaonwa.
naomba umtake radhi haraka sugar mummy Evelyn salt....
we sungura1980 unasemaje hebu nifuate JLW nikakupe vidonge vyako hapa ntatibua hali bure
Khantwe kabint kadogo ka miaka 23 kamekaa vizuri.
Khantwe mdogo mdogo halafu anavutia.
Hahahahaa....si mzima wewe....bonge la chaka umeingia
No way
mf:
1. Arushaone nahic atakua ni mtu asiyenyoa ndevu. pia atakua anapenda kuvaa suti koti na suruar tofaut.
2. Mamndemi ni mmama mwenye watoto na mwenye staha ila akiwa humu anajiche2a
3 Mzizi mkavu na Mr Rocky ni wa2 wa makamo wanaejiheshimu sana
5. kiwatengu, Madame B hawa wanapenda kujirusha wengine 2taendelea.
Umekosa!!!!!
Me nahisi huyo kwenye avatar ndo wewe
What are u trying to say? Me ndo najifahamu
Nawe pia umekosa!
MziziMkavu
sio mtu mzima sana,lakini ana busara na hekima,
Asprin atakuwa Serengeti boy,penda penda,
mwallu ni mcha Mungu ila bado ni binti mdogo
sana, FaizaFoxy ni bibi wa miaka kama 70 akili
yake imezeeka, a.rahabu ni kigori tu miaka 22
hivi lakini anajifanya kakua, miss neddy
kamiss miss hivi Evelyn Salt ni dogo kabisa
miaka 19 lakini kakua juzi juzi tu,, utafiti
kijana mtanashati,msafi,busara sana,,,
na nionwe tu
Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss people. - Eleanor Roosevelt