Unahisi mwana JF yukoje kimtazamo wako

mf:
1. Arushaone nahic atakua ni mtu asiyenyoa ndevu. pia atakua anapenda kuvaa suti koti na suruar tofaut.
2. Mamndemi ni mmama mwenye watoto na mwenye staha ila akiwa humu anajiche2a
3 Mzizi mkavu na Mr Rocky ni wa2 wa makamo wanaejiheshimu sana
5. kiwatengu, Madame B hawa wanapenda kujirusha wengine 2taendelea.

unamaanisha mimi napenda kujirusha na Madame B?
sijakupata hapo.
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom