Unahisi kafanyeje huyu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kafanya uchochezi so wanamhoji kwanini aongee kuna njaa bila kibali cha serikali
 
Yan hyo picha imeniumiza sana, how com unamtesa kuimbe kisicho na akil kiac hicho? Hata ukimfanya hvo kesho atarudia kosa lile lile coz hana akil, n sio kosa bt ni nature yan wameumbwa hvo, halaf hapo panaonesha ni uswaz na paka wa huko hawatunzi wanajilea wenyewe so lolote wanalofanya ni katka kujitafutia rizki zao japo wanatumia njia ambazo hazitupendez wanadam bt they don hav choice
 
interesting, hebu shusha amri zote mkuu
kanuni ziko 10 mkuu....scout ni rafiki wa kila mtu na ni ndugu kwa kila scout..scout ni mtiifu kwa viongozi wake..scout ni mchangamfu daima...scout ni mzalendo kamili..ziko kumi zinaendelea
 
kanuni ziko 10 mkuu....scout ni rafiki wa kila mtu na ni ndugu kwa kila scout..scout ni mtiifu kwa viongozi wake..scout ni mchangamfu daima...scout ni mzalendo kamili..ziko kumi zinaendelea
Oh, shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…