Naam kutoka msafisha viatu vya prince mpaka kuwa PM. Kumbuka hii ni nchi ya Wafalme kama haumo kwenye ukoo wa kifalme basi uongozi ndani ya nchi hii utausikia kwenye redio mbao ukiweza kusafisha viatu unaweza ukakumbukwa haraka hata kama si mwana wa mfalme.