Unafikiri kuna Paka Wangapi hapo?

mm ngoja nisijibu... nitarudi kuona majibu ya wengine
 
Mimi ntakuwa wa mwisho kujibu
 
6 na yule pale kwenye switch
 
Mzizi mkavu upo mkuu?? Long time no see u'r post/comment,
 
Nachetu niko kwenye daldal kurudi hm hii ndio jf
 
mnazingua, paka gani anaweza kukaa kwenye switch :what:
 
Ngoja nivae miwani yangu labda nitawaona wengine zaidi ya wananaoonekana hapo
 
Mi namuulizia mwenye paka.......nitampataje.........?
 
hahahahah paka kajificha baada ya kuona dogs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…