C chuwaalbert JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 3,598 Reaction score 2,136 Apr 2, 2016 #21 mwasu said: Polepole anajitoa ufahamu kwa tamaa ya madaraka, anataka kupata wadhifa kwa style ya makonda. Anajua sana asemacho si sahihi ila njaa yakutaka madaraka inamfanya awe changudoa wa siasa. Click to expand... Inasikitisha sana.Siu hizi ndugu Polepole anafikiria polepole SANA!
mwasu said: Polepole anajitoa ufahamu kwa tamaa ya madaraka, anataka kupata wadhifa kwa style ya makonda. Anajua sana asemacho si sahihi ila njaa yakutaka madaraka inamfanya awe changudoa wa siasa. Click to expand... Inasikitisha sana.Siu hizi ndugu Polepole anafikiria polepole SANA!
Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,179 Apr 4, 2016 #22 Huo ndio ukweli
kivava JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 5,772 Reaction score 4,933 Apr 4, 2016 #23 Polepole anadai MCC ni huru na maamuzi ya serikali ya Marekani, anadhani inaweza hata kuwapa msaada Al Qaeda na ISIS? Huyu jamaa chizi
Polepole anadai MCC ni huru na maamuzi ya serikali ya Marekani, anadhani inaweza hata kuwapa msaada Al Qaeda na ISIS? Huyu jamaa chizi