Unafiki uliopitiliza

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
swali langu dogo tu nalidirect kwa wahenga waliokuwepo enzi za awamu ya kwanza,pili,tatu na NNE.

Hivi kunawakati katika awamu hizo kiwango cha unafiki cha watanzania kiliwahi kuwa kikubwa kama tunavyoona sasa

Tuchukue tu mfano wa viongozi wa upinzani kujiuzulu na kuyakanusha maneno yao waliyosema siku chache tu zilizopita.
 
Ujerumani ilishindwa kututawala kwa sababu ya unafiki. Hata tusingedai uhuru Waingereza walikuwa wanaelekea kutuacha maana ni wanafiki wakubwa.
 
Ujerumani ilishindwa kututawala kwa sababu ya unafiki. Hata tusingedai uhuru Waingereza walikuwa wanaelekea kutuacha maana ni wanafiki wakubwa.
Na JIWE ni kielelezo halisi cha UNAFIKI.

Huyu jamaa akifa inabidi awekwe makumbusho awe anapigwa mboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…