Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Njaa tu hizo,wako kwenye payroll za wtu fulani unafikiri wanaweza kukgoma wakti wenyewe ni makanjanja?[SUP]View attachment 65752
Walitoa kauri ya kuwasusa maafande kwa kuto toa habari zinazowahusu
Leo Mjengwa blog,Michuzi pamoja na Jiachie wamewaweka maasimu wao
Je ni unafiki-ri au ndio sitaki nataka yao?
R I P Mwangosi [/SUP]
Hivi Michuzi ni mwandishi wa habari au mpiga picha tuu?
Wote wanafikiri kwa kutumia matumbo. Njaa ni kitu kibaya kuliko unacho ogopa.
Ndio maana wamesaliti mwenzao kwa vile hayuko tena chini ya jua
Hao si waandishi habari bali ni viandishi habari.
Kuna baadhi ya waandishi wanatumiwa, wengine wanawinda vyeo serikalini.
Njaa tu hizo,wako kwenye payroll za wtu fulani unafikiri wanaweza kukgoma wakti wenyewe ni makanjanja?
Mpiga picha na muandishi
Nani kakuambia kuwa maggid na michuzi ni waandishi wa habari??
wAKE ZAO NDIO WALIOTUAMBIA
na hasa njaa hiyo ukiibebea kiroba.Wote wanafikiri kwa kutumia matumbo. Njaa ni kitu kibaya kuliko unacho ogopa.
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
Hivi Michuzi ni mwandishi wa habari au mpiga picha tuu?
Hivi Michuzi ni mwandishi wa habari au mpiga picha tuu?