Kitandani... kwani ninapofanyia na ninachokuomba vinamahusiano gani. Kuweni na subira kina dada angalau hata ukisha mpatia anachokuomba ndio umuuliza maana lazima kutakua na ka uoga kanakopelekea mtu kusema uongo utakapomuuliza mtu anafanya nini kabla hujampa papuchi. au mwanzo wa mahusiano. Kama mimi kwa kweli nikikuambia kazi yangu ya ukweli siku ya kwanza hutarudi tena, lakini kama ukishaonja gemu langu hutajali kazi yangu. Moderator uchunie bana kule hamna mademu kama hapa.
Lakini pia wapo wanaume wenye misifa hajaulizwa utasikia me nafanya ichi, nina kigari changu mara nyumba haina mtu wa kukaa na ivi mpya..kirohoni unamjibu inahuuuu...machoni unamwitia tu aah hongera...mwanaume ukianza kwa kujisifu inaonesha hujiamini..