Unaendelea Kuangalia TBC1

kwanini isitolewe hoja bungeni ya kuvunja hii tbccm................ aaaaaaaah! kumbe bunge lenyewe ni la hovyo hovyo ,linaloongozwa na vichaa.
 
sasa hivi wameamua kuweka AFRICA REPORT kabisa...... pinda atumuoni tena. kweli CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Nakuna hoja ya wananchi kukatwa sh 1000 kila watumiapo vocha za kingamuzi kila mwenzi kuendesha TBC...

Mpaka 2015 tutaona mengi sanaaa
 

Ninachojua ni kwamba StarTimes wanatumia teknolojia ya zamani ya digitalia (chakavu) (first generation digital transmission) tofauti na DSTv wanaotumia (second generation digital transmission). Kwa hiyo, "ganda la mua la jana chungu kaona kivuno" ndiyo matokeo yake hayo.
 
Wakati wA sherehe za CCM kigoma hii TV haikusumbua kabisaaaaaaaaa

Waliopo live ndani ya ukumbi wa bunge tupeni kidogo kinacho endelea ata vituko vywa hapo nje tu..
 
hivi nyie woooote humu JF nani kawambia TBC ni TV ya Taifa?!!! hiyo ni TV ya serikali ya chama tawala ccm ambayo inatekeleza matakwa ya chama tawala! ingekuwa TV ya Taifa kweli tungepata mambo so clear! wanakata kata vipindi vya Bunge kwa makusudi kabisa na wala sio eti hitilafu ya mitambo ya satellite!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…