Nakumbuka mara ya mwisho ilinitokea bills 2009 tena kwa kulazimishwa nikatoa option wanipe changu mfukoni ili nienda vinginevyo hapana sitaki kwenda sehemu kusumbua watu.Hayo mambo tulikuwa tunafanya miaka hiyo tupo sekondari unaenda bills huna hata senti
Nakumbuka mara ya mwisho ilinitokea bills 2009 tena kwa kulazimishwa nikatoa option wanipe changu mfukoni ili nienda vinginevyo hapana sitaki kwenda sehemu kusumbua watu.
Pilato hili ni tatizo kubwa sana la kijamii hapa TZ. Inafika mahali mtu anamwita mhudumu, anaagiza kinywaji "expensive" kuliko unachokunywa halafu anamwambia mhudumu "Bili mpe Kiongozi" (yaani wewe), wakati budget yako ni Serengeti Light mbili ambazo gharama yake haizidi shilingi elfu nne.Jamani hii tabia inakera unaendaje bar au club wakati huna kitu jamani ni bora ulale tu nyumbani ili usisumbue wenzio, kuna watu wanakera kweli lakini nimeshawaambia na wengine ujumbe ufike kama huna hela we lala tu nyumbani usisumbue wenzio.
Hili linakera sana yaaniPilato hili ni tatizo kubwa sana la kijamii hapa TZ. Inafika mahali mtu anamwita mhudumu, anaagiza kinywaji "expensive" kuliko unachokunywa halafu anamwambia mhudumu "Bili mpe Kiongozi" (yaani wewe), wakati budget yako ni Serengeti Light mbili ambazo gharama yake haizidi shilingi elfu nne.
Kitu muhimu ni mdomo uliokamilika mengine yatajipa, hii TZ si Kenya.Jamani hii tabia inakera unaendaje bar au club wakati huna kitu jamani ni bora ulale tu nyumbani ili usisumbue wenzio, kuna watu wanakera kweli lakini nimeshawaambia na wengine ujumbe ufike kama huna hela we lala tu nyumbani usisumbue wenzio.
Wewe mkuu kama huna hela unakwenda tu kisa unamdomo uliokamilika?Kitu muhimu ni mdomo uliokamilika mengine yatajipa, hii TZ si Kenya.