Elections 2015 Unadhani kwanini Reginad Mengi kazomewa pale alivokuwa akipewa cheti Magufuli?


U have nothing to do buddy. Absolutely nothing. Unashangilia upepo tu. Kesho all your ass troubleas are still gona be there. Kama wa kaskazini wamekuzidi wamekuzidi tu huna cha kufanya.
 
Watu wanatumia tumbo kufikiri unamjadili kwa ubaya mtu ambaye ameajiri maelfu ya watu hadi na ndugu zako.
 
Naona CCM nako kuna wanywa viroba na Bodaboda,Hawa si ndo wanahubiri amani???duh I can see the graph touching zero(bell shape)time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…