wakuu mi nna HTC desire V , sasa huwa kila nikiwa kwenye net na ninapotakiwa ku-sychronous information flan flan hasa kuingia kwenye facebook inazingua na kusema " Please authorize HTC sense to access your Facebook account"
pia nikitaka kudownload scene/skin mbalimbali za HTC inasema "Unable to connect to HTC Sense server. Please try again later.
Sasa nashndwa kuelewa ni ki2 gan hii wakuu
Naomba wataam mjimwage kwa msaada