Unabii wa Tundu Lissu kabla Hata Lowassa hajahamia Chadema ni huu " Mkitumaliza Sisi mtaanza kulana Wenyewe kwa Wenyewe"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Niwe tu Mkweli maneno yale ya Tundu Antipas Lisu yanatimia Hata kama tutakuwa wagumu kukubali

Mpendwa Chongolo Wakati fulani tumeabudu naye pale KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsahi Wakati huo akiwa DC Kinondoni, najua maumivu anayopitia nampa pole sana

Yesu alitufundisha " Msikae Barazani kwa wenye Mizaha"

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu

Jumaa Mubarak 😀
 
Na baadaye yakaja maneno ya Chaku chaku mama!!!! Siku hizi ni His excellence!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mchungaji Mastahi na mzee Mgaya walikuwa moto sana enzi za jiwe, siku hizi wamepoa kama uji wa mgonjwa
 
Yesu akamgeukia mama yake akamwambia " Tazama mwanao" kisha akamwangalia yule Mwanafunzi aliyempenda akamwambia " Tazama Mama Yako"

Yajayo yanafurahisha 😄😄🔥

Sabato Njema!
 
Niwe tu Mkweli maneno yale ya Tundu Antipas Lisu yanatimia Hata kama tutakuwa wagumu kukubali

Mpendwa Chongolo Wakati fulani tumeabudu naye pale KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsahi Wakati huo akiwa DC Kinondoni, najua maumivu anayopitia nampa pole sana

Yesu alitufundisha " Msikae Barazani kwa wenye Mizaha"

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu

Jumaa Mubarak 😀
Sasa mnakulana kwa raha zenu maccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom