Unaanzaje?

!
!
labda kama unaishi naye...ila eti distance!?..eneo la kukutana huwa loushaongea what it is!....
 
Eti bibi kule dodoma nae anataka kuangalia tamthilia, anatakamkuangalia tamthilia, au unanishaurije
 
Zamani I used to have all the time to tease him and make him wanna get the freak on.

Siku hizi kuna katoto inabidi kuwahiana fasta, hauchelewi kuskia 'mamaaa nyonyo'.

Hahaha watoto bwana wanafanya mabadiliko mengi kweli. Sisi siku hizi tunavizia wakiwa anakula. Tunakimbia tunajifungia tunabanjuana mda wakimaliza kula unakuta ndo na namalizia kimoja. Imebidi tubadilishe ratiba ya kula dinner. Uzungu pembeni. Tunatanguliza watoto kwanza maana kama sio hivyo lazima mlango ugongwe kwa nguvu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…