Unaweza kutoa physical address ya suppler wako ili tuunganishani...me ni mdau wa hii kitu!Nipo London, nina chalee wangu yupo zanzibar, yeye ndio supply wangu, kama Upo dar item kufika ni rahisi na utapatiwa mzigo wako.
Unaweza kutoa physical address ya suppler wako ili tuunganishani...me ni mdau wa hii kitu!
Umejinadi as spy ware vendor sasa unataka tena kujua wateja wako zaidi huoni hutendei haki privacy zao?Hakuna tatizo, mimi ndie ninae nunua hivi Vitu na kumtumia supply wangu, kama unahitaji mazungumzo ya biashara tuwasiliane, tutajuana zaidi na Nitakupatia contact. kama una watsup Nitumie private msg jf, or email me ghalib@live.ie
Umejinadi as spy ware vendor sasa unataka tena kujua wateja wako zaidi huoni hutendei haki privacy zao?