projectman
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 349
- 486
Habari wana JF leo nimeguswa kushare kitu cha msingi mno katika maisha yetu tukiwa kama binadamu tulio zaliwa kwa siku na tarehe tofauti tofauti na kujikuta pasipo kujijua hapo awali backgraund yetu ilikuwaje na kujikuta gafla tupo duniani pasipo kuchagua wala kujua imekuwaje kuwaje mimi au wewe uje duniani na ni kwanini hukuja hapo awali!!!
Kumekuwa na romas nyingi kuusu maisha baada ya kifo kwa vile kila mtu anavyo amua kutafsili kutokana na mawazo ya mtu binafsi anavyo ona inakuja katika mawazo yake na kujipa uhakika kuwa mawazo yake yataendana na uharisia wa maisha ambayo ndivyo yapo ivyo!
Tukizingatia vitabu tulivyo vikuta vya dini vinatuambia baada ya kifo ni hukumu! na ndio vitu tunavyo viamini kuwa kuna maisha baada ya kifo na itategemeana binadamu aliishi vipi akiwa duniani kulingana na njia ambayo ameichagua kwa matendo yake na kwa njia yake anayo amini itakayo mpeleka ndiko atakako staili!
Kuna mawazo ya kujiuliza uku ukiwa bado uko hai katika dunia pengine yatakunusuru katika kubadilisha njia na kuelekea njia ya uzima na maisha ya milele juu mbinguni.
Mimi binafsi nikiwa kama mtoa maada ilipo kuwa mwaka 1994 ilikuwa usiku wa kama saa tatu usiku niliona mtu dirishani kwangu tena anaonekana vizuri huwezi hata kupapasa macho kumtafuta umuone vizuri yaani alikuwa anaoneka hata ule unywele mmoja ulikuwa unaonekana!! niliwaita wazazi na wadogo zangu waje kumuangalia uyo mtu lakini walisema hawamuoni? uyo mtu alikuwa anamwanga unao mtosheleza yeye mwenyewe alikuwa ananiangalia pasipo kutikisa kope zake na alisimama stand by kama askari kwenye gralide! alikuwa hatishi alikuwa sio mwanamke wala mwanaume uwezi ukamuweka katika kundi lolote!
Mimi ninakufundisha ndugu sio lazima uone kitu ndio uamini mambo mengine yanatokea kwa makusudi ya Mungu ili tujue yeye yupo.
Kunamaisha baada ya kifo na usisubili ufe ndio uamini huwezi kutubu tena ukiwa umesha kufa lakini leo hii ndio wakati wetu wa kutubu dhambi sisi kama binadamu na kuanza kujiandaa na maisha ya kushinda kuingia pale mbinguni uku tukipuuzia uchafu wa dunia hii!
Sasa je unakufaje kufaje? na sema haya maana kufa ni lazima na ukifa katika zambi ni lazima uende jehanamu hiyo haina upinzani na hili kundi ndio wengi hupita uko! lakini ukifa katika unyenyekevu wa Mungu basi ujue hata ukifa utakwenda juu mbinguni na ukaishi uko pamoja na malaika na Mungu mwenyewe! chagua ukiwa hai leo maana usije kuja kujilaumu hukukumbushwa katika haya!
Naomba kuwasilisha?

- Je ulichagua kuja duniani?
- Je unajua mwisho wako ni lini?
- Je unajua ni kazi gani unayo staili kuifanya hapa duniani?
- Je utakapo kufa na kuyakuta maisha baada ya kifo na ukajikuta umekwenda jehanamu utakabili vipi maisha ya milele na milele motoni?
- Je unajua walio kufa katika jehanamu wanatamani kuludi duniani wapate nafasi ya kutubu lakini wanashindwa?
- Je unajua duniani ulizaliwa pekeyako na utakufa pekeyako?
- Je unafikili kuenda mbinguni ni bahati na sibu?
- Je aliye kuleta duniani anajisikiaje unapo fanya dhambi na hutaki kubadili njia siku ya kifo ikifika utamlaumu?
- Je unajua dakika hii na nyakati hizi maelefu ya watu wanakata roho?
- Je unauhakika na mawazo yako dhidi ya njia yako unayo iamini kuwa itakupeleka mbinguni?
- Je unajua jicho la Mungu linaona hata mawazo yako unayo yawaza?
- Je unajua kuwa jehanamu ipo na mbingu ipo?
- Je unajua walio kufa hata wao hawakujua kuwa wangekufa kesho au baadaye au mwaka ujao na kupanga mipango mingi na kujikuta hawakufikia siku izo?
- Je unajua kifo sio option-sio kuchagua?
- Kama hujui kwanini unafanya mambo yatakayo kutesa baadaye