olesiteti Jr
Member
- Jul 6, 2016
- 96
- 59
Wakuu habar zenu..chuma ndo iyo imeny'any'ua kilomita moja na zimebak nne ..si mnajua dereva kapewa leseni juzi juzi na ung'ependa kumshauri nin tufike tunapotaka maana abiria hal mbaya mim mwenyew nime choka na hii safar ya kilomita moja na huy suka wa Lori Sijui kama ana ona kona zote za kitonga na wasi wasi na suka sijui atashuka na style gan gar tyre mbovu dereva mbishi am sikilizi tingo wake Abiria ..tumshaur nin suka m sielewi mwisho Wa hii safari..
Mwaga wino wako ...tujue tuna maliza VIP hizo kilomita NNE mbele..
Mwaga wino wako ...tujue tuna maliza VIP hizo kilomita NNE mbele..