Swala ni pesa tu. ..kama unaishi kwako au umepanga siyo tija sana. ..mipango ya maisha tu.Ukijua utamu wa kukaa kwako, haya maneno utajuta kwanini uliongeaga
Wengi tunakimbilia kibanda kujenga kwa sababu ya income isiyo eleweka, ambapo tunaona ukiwa na kibanda utakuwa unawaza kusomesha watoto na shida nyingine ndogo ndogo... Pia lifestyle ina changia maana kuna watu wanakufa hata choo ajawahi kujengaSwala ni pesa tu. ..kama unaishi kwako au umepanga siyo tija sana. ..mipango ya maisha tu.
Kila mtu na maamzi yake, usiwapangie nn cha kufanya...
Fikra hafifu za Mwafrika mbongoUkijenga ukafa,nyumba watauza wanywe bia......
Sema pesa huna mku amna kitu kizuri kama kuwa na kwako hata dini yetu [HASHTAG]#Islam[/HASHTAG] inazungumzia swala hilo hata sisi tunaitaj kujenga ila pesa haija ka sawaMimi binafsi sijengi kwasababu sikuja duniani kuipendezesha dunia.
Mkuu fursa sio biashara tu, tatizo wengi wetu Tanzania tunaigana kila mtu anawaza kujenga tumekuwa waoga sana matokeo yake tunaishi maisha ya kimaskini sana huku tukinyanyaswa na vimishahara vya mbuzi huku tukijifariji eti natokea kwangu...hadi tunaita "kwenye kibanda changu" hii mentality inatufanya kuishi maisha ya taabu sana sababu ya kukosa vipaumbele,binafsi siamini kama nyumba aka kibanda ndo kipaumbele, pesa kwanza kujenga NYUMBA sio KIBANDA kutafuata kwenye eneo rasmi...no wonder kila siku watu wanalia bomoabomoaSasa kama huna idea yoyote ya biashara na huna uzoefu nasio mla bata mjini hapa Mara 100 ujenge tu
Ni kweli mkuu na hiyo ndo ikolojia yenyewe ya maisha jengeni wapangaji tupo...nakulipa kodi ya nyumba miaka miwili unakula hiyo hela within a month halafu tunakodoleana macho hadi miaka miwili iishe kkk.Watu wote wangekuwa na Mawazo Kama yako Leo hii Wewe ungepanga wapi?
Wewe Fanya Biashara zako tutakuja kununua Mchana Jioni ukirudi unanilipa kodi ya nyumba ili Kesho nije tena kukuungisha Biashara yako ndio Mgawanyiko wa Najukumu