Una Maoni Gani!

Ha ha ha te te te inachekesha sana! mkapa anashika ma...ta.ko kiboko mwisho wa matatizo lol
 
Mwalimu atakuwa mwonevu, sidhani kama huyo askofu na sheikh wana makosa yakuhitaji bakora.
Au sidanganyiki na waraka navyo kosa?
 
Mwalimu atakuwa mwonevu, sidhani kama huyo askofu na sheikh wana makosa yakuhitaji bakora.
Au sidanganyiki na waraka navyo kosa?

Labda alieonewa ni Mizengo Pinda (MP), sidhani kama anastahili bakora.
Wengine woooote halali yao watandikwe.
 
Sawa kabisa hawa jamaa wana stahili Peremende hii isipokuwa wanadini wale waachwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…