Una malengo gani na mimi?

Wanajamvi habarini nyote

Nimeulizwa na demi wanngu "una malengo gani na mimi?" Nawaza nimjibuje.

Nisaidieni ushailuri/maoni

Nawasilisha
mwambie malengo yako ni kuwa mwanafunzi wake wa somo la kiswahili maana huo mwandiko wako ni shida kweli
 
Ladies first,
Aseme yeye kwanza isije ikiwa anakuchezea na kutupotezea Muda wako bure mtoto wa watu.

Kama anajikanyagakanyaga nipe namba yake nimuulize mimi.


Puliizzz.
Nimeipenda hii
 
Wanajamvi habarini nyote

Nimeulizwa na demi wanngu "una malengo gani na mimi?" Nawaza nimjibuje.

Nisaidieni ushailuri/maoni

Nawasilisha
Yaani wewe hujui una malengo gani naye unakuja kutuuliza sisi? OK anyway kwa kuwa umeomba ushauri we mwambie tu Nina malengo ya kukusomea ahlbadir.
 
Sasa malengo yako na dem wako tutayajua vipi?
 
Maswali ya zama za mawe hizo ?
 
Mwambie utamuoa atafurahi sana maana wanapendwa sana kuolewa
 
Wavulana wa mikoani mnatia aibu, malengo ni ya kwako, ata shetani hawezi kujua malengo yako sembuse sisi, embu man up, nenda kamwambie malengo yako maovu alafu upokee kibuti kitakatifu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
My ex boyfriend alishawahi niuliza such a question....
Nlimjibu *nina malengo mazuri na wewe *
Hahaha
 
kama swali dogo kama hili limekushinda mpkmuombe ushauri we basi tena
 
Aise!!! Huyo demu amepata
kajamaa kengine nje
kakamwabia kamuoe
ndiyo anakuuliza Na ww
anataka aliganishe mawazo.
Cha kukushauli muulize kwanza yeye
Uoneanavyotaka ndiyo utapata cha kumjibu
Na endapo ukiona anajikanyaga baada ya
kumuuliza ujue ushazidiwa kete Na kisha
sepa tu HUNA CHAKO NDUGU[emoji81][emoji75][emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…