nielewesheDunia in mambo
umeongea vizuri sana mkuu,chukua pepsi ya baridi hapo unyweKwani hao wenye madevu si badae waliachana na mambo ya ugaidi au?
Tatizo huwa linaanzia tu pale binadamu anapojitwisha/kujipa jukumu la kumpgania Allah kiasi cha kuwa radhi kutoa uhai wa binadamu mwingine.
Kuna vikundi kama Islamic jihad wote humu tujiulize hivi vikundi ni mali ya Allah mwenyewe au? Na kama sio harakati zao zina baraka za huyu Allah?
Utashangaa eti unaambiwa sijui mtu fulani huko Nigeria kapigwa viboko hadharani kisa alionekana anakula chakula kipindi cha mfungo wa Ramadhan! Seriously!!!!!!!
Tumuache Allah ajipambanie mwenyewe tusijipe mamlaka ya kuhukumu kwa niaba ya huyo Allah.
Kwa kujikumbusha tu hakuna siku ambayo huyo Allah alitajwa sana kama October 7 yani kila tukio lililofanywa na hamas walikuwa wanaimba "Allahu akbar" sasa wote humu ni watu wazima tujiulize huyo Allah amewasaidiaje hamas na wapelestina!!!!!!???
To conclude! TUMUACHE ALLAH APAMBANE NA HALI YAKE TUSIJIVIKE MAJUKUMU YAKE
Asante! Pepsi hapana nna kisukari. Labda fanya Serengeti lager tu ya moto mkuuumeongea vizuri sana mkuu,chukua pepsi ya baridi hapo unywe
Sawa mkuu,chukua ujipongezeAsante! Pepsi hapana nna kisukari. Labda fanya Serengeti lager tu ya moto mkuu
Hivi ni kwanini uislamu unatumiwa kitapeli?Uislam ni dini inayotumiwa na kila tapeli
Nina uhahika hata shetani mwenyewe atakuwa ni mwisilam na kama si mwisilam bas huenda yeye mwenyewe ndo kaanzisha uislam ili atapel watu
Muimu Marekan walitangaza kuweka pesa mezani kwa atakaemkamata uyu mwamba wa Syrian ya leoHii dunia ina mambo mengi sana.
Duniani kuna utapeli na uwongo wa kutisha mno na unafiki hizi picha zinaongea mengi sanaView attachment 3439469View attachment 3439470
ALLAH akbar!!!!!!!!!!!!!!Kwani hao wenye madevu si badae waliachana na mambo ya ugaidi au?
Tatizo huwa linaanzia tu pale binadamu anapojitwisha/kujipa jukumu la kumpgania Allah kiasi cha kuwa radhi kutoa uhai wa binadamu mwingine.
Kuna vikundi kama Islamic jihad wote humu tujiulize hivi vikundi ni mali ya Allah mwenyewe au? Na kama sio harakati zao zina baraka za huyu Allah?
Utashangaa eti unaambiwa sijui mtu fulani huko Nigeria kapigwa viboko hadharani kisa alionekana anakula chakula kipindi cha mfungo wa Ramadhan! Seriously!!!!!!!
Tumuache Allah ajipambanie mwenyewe tusijipe mamlaka ya kuhukumu kwa niaba ya huyo Allah.
Kwa kujikumbusha tu hakuna siku ambayo huyo Allah alitajwa sana kama October 7 yani kila tukio lililofanywa na hamas walikuwa wanaimba "Allahu akbar" sasa wote humu ni watu wazima tujiulize huyo Allah amewasaidiaje hamas na wapelestina!!!!!!???
To conclude! TUMUACHE ALLAH APAMBANE NA HALI YAKE TUSIJIVIKE MAJUKUMU YAKE
Allah apiganiwi ,Mungu atailind dini yake sip watu ..wanaopigana wanapigania nafsi zao.Kwani hao wenye madevu si badae waliachana na mambo ya ugaidi au?
Tatizo huwa linaanzia tu pale binadamu anapojitwisha/kujipa jukumu la kumpgania Allah kiasi cha kuwa radhi kutoa uhai wa binadamu mwingine.
Kuna vikundi kama Islamic jihad wote humu tujiulize hivi vikundi ni mali ya Allah mwenyewe au? Na kama sio harakati zao zina baraka za huyu Allah?
Utashangaa eti unaambiwa sijui mtu fulani huko Nigeria kapigwa viboko hadharani kisa alionekana anakula chakula kipindi cha mfungo wa Ramadhan! Seriously!!!!!!!
Tumuache Allah ajipambanie mwenyewe tusijipe mamlaka ya kuhukumu kwa niaba ya huyo Allah.
Kwa kujikumbusha tu hakuna siku ambayo huyo Allah alitajwa sana kama October 7 yani kila tukio lililofanywa na hamas walikuwa wanaimba "Allahu akbar" sasa wote humu ni watu wazima tujiulize huyo Allah amewasaidiaje hamas na wapelestina!!!!!!???
To conclude! TUMUACHE ALLAH APAMBANE NA HALI YAKE TUSIJIVIKE MAJUKUMU YAKE
Hapa umemalizaHao jamaa ukivaa suti na kufuata mila zako , hawawezi kukuita Gaidi🤣🤣
One of the worst things is to be an adult and still be a fool!Uislam ni dini inayotumiwa na kila tapeli
Nina uhahika hata shetani mwenyewe atakuwa ni mwisilam na kama si mwisilam bas huenda yeye mwenyewe ndo kaanzisha uislam ili atapel watu
Hakuna adui wakudumu,wala rafiki wa kudumu chini ya mbinguHii dunia ina mambo mengi sana.
Duniani kuna utapeli na uwongo wa kutisha mno na unafiki hizi picha zinaongea mengi sanaView attachment 3439469View attachment 3439470
Dini zote niutapeliHivi ni kwanini uislamu unatumiwa kitapeli?