matatizo ya ma housegal ni mengi mno. kuna aliyekua ananyonya katoto ka kuime nyeti zake wakati wa kumlisha chakula ili asilie. siku ya siku mama anamlisha katoto hakataki kabisa kula. kaka yake mkubwa mkubwa hivi kama wa miaka minne / mitano, anaongea, anamwambia mama yake, mnyonye huku kama dada ndio atakula!!! mama macho yalimtoka kama ya bundi!
mwingine nae aliajiriwa kulea mtoto mchanga kabisa, kumbe alikotokea alikua amezaa mtoto akafa kwa vile alikua na ukimwi, hsegal kuanza kazi maziwa bado yanatoka lakini hakusema, mama akienda kazini, hsegal anamnyonyesha mtoto, mama anashangaa maziwa ya kopo hayaishi, kumbe mtoto anyonyeshwa na hsegal. 40 ya hsegal ilipofika mama karudi ghafla nyumbani anamkuta dada busy anamnyonyesha mtoto, karibu akate roho, kuhojiwa anadai eti alijifungua mtoto akafa hivyo maziwa yanajaa na yanauma, akaamua kunyonyesha kichanga kile. hsegal kupimwa anakutwa muathirika na kitoto kile kilikutwa negative, japo wazazi walishauriwa apimwe tena after 3 months. sikupata taarifa baada ya hapo.
tunapokua makazini kwa kweli, tukabidhi maisha watoto wetu kwa mwenyezi mungu awalinde. kusema eti hsegal nae anajisikia sio sawa, maana ukijisikia huwezi maliza shida yako kwa malaika wa mwenyezi mungu. ina maana yeye ndio anajisikia zaidi ya hsegal wengine? hii sio sawa kabisa. tukisema tuwe tunarudi majumbani mara moja moja, hii itategemea, unaishi wapi na unafanya kazi wapi na pia kama una usafiri wa uhakika, sio kitu rahisi, kurudi nyumbani kila siku eti umfuatilie hsegal. Ila ni muhimu kua karibu nao ili uweze kuwasoma vizuri na kujua tabia zao japo kidogo. Pole sana mama ulokutwa na janga hili, na asante kwa mleta mada.