Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,916
- 100,100
Mbona hilo linaeleweka. Na jamaa asilimia 92 huwa wanatumia bangi hadi umri wa miaka 43.Ndiyo maana maneno yao yana rangi ya kijani.Nimeamini vile vielelezo vya ganja vinatumika Na wakamataji
ha ha ha!Dah.. sometimes mtu unashiwishiwa kufanya michezo ya ajabu ajabu jmn msitulaumu vijana!
Huyu kamanda kahamishwa kituo cha kazi juzi.Jamaa katutishia hapa visiwani eti akipita mwenye makalio makubwa ukikohoa tu jela!
Mkuu una hamu ya kwenda jela wewe..Koho koho koho koho kohooooo, haya njoni sasa
Mkuu una hamu ya kwenda jela wewe..
Bora niende jela kwa kusingiziwa jambo fulani ila sio kwasababu ya kukohoaJela haina mwenyewe, hata wewe unaweza kusingiziwa jambo ukajikuta uko huko.
Hiyo Style si Mchezo.....Wee kohoa tu koho koho ukiona hii makitu.
View attachment 779259
.... Utashtakiwa kwa shambulio la aibu.