Polisi wamesahau kuwa ili ufungwe ni lazima pasiwe Na Shaka yoyote kwenye ushahidi. Sasa watathibitishaje kuwa nimekohoa? Hata wakiweza kuthibitisha hilo, watathibitishaje kuwa nilikuwa siumwi kikohozi?