UN headquarters in NY and the powers of decision against USA

Mto_Ngono

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
686
589
'You cannot make decision against the host'

One question is vital,
  • Why UN headquarters in New York?
Perhaps the question might be easy to answer since it follow prescribed procedures. Does member states satisfied themselves that the headquarter be placed in NY! Do there any influence in decision making! Do there is no other member states interested to host! Anyway, more investigation is needed.

I think one of the factors influencing UN decision against USA rivals is placement of UN Headquarters in NY. Most of cases USA initiated complaints and point fingers against some member states on issues which are also done by USA herself for instance sanctions against Iran on Nuclear power plants and many other.

I do believe that placing the UN headquarters in USA has adverse effect in decision making, it affect impartiality. Member states should vote to place it to other states, importantly neutral state.

I do advise.
 
kipindi UN inaundwa pale baada ya vita vya pili na baada ya lile poromoko la kiuchumi(GREAT DEPRESSION) ili kufanya kazi iliyokuwa imeshindwa na chombo kilichokuwepo kabla(LEAGUE OF NATIONS) marekani ndo ilikuwa nchi pekee iliyokuwa haijaasiliwa na vita(miundombinu,uchumi,teknolojia,nguvu kazi)ukilinganisha na mataifa mengine kama ujerumani,uingereza,urusi n.k kwasababu yeye hakujiingiza mojamoja kwenye vita kama wengine,hivo alipata ushawishi mkubwa kuwahadaa wengine katika kuweka wapi makao ya UN kwasababu nlizozielezea hapo juu na kwa kipindi hicho UN ilihitajika kutengenezwa mapema iwezekananvyo kama muungalizi mkuu wa usalama dunianii ili kuepuka kujirudia kwa vita tena na kuhakiksha amani duniani,kwahiyo hakukuwa na sehemu nyingine pakuipeleka tofauti na marekani kwasababu sehemu zingine zilikuwa zimeharibiwa sana na vita vya dunia.
 
More than a half of UN money is from the US government

Anayemlipa mpiga zumari huchagua wimbo
 
kipindi UN inaundwa pale baada ya vita vya pili na baada ya lile poromoko la kiuchumi(GREAT DEPRESSION) ili kufanya kazi iliyokuwa imeshindwa na chombo kilichokuwepo kabla(LEAGUE OF NATIONS) marekani ndo ilikuwa nchi pekee iliyokuwa haijaasiliwa na vita(miundombinu,uchumi,teknolojia,nguvu kazi)ukilinganisha na mataifa mengine kama ujerumani,uingereza,urusi n.k kwasababu yeye hakujiingiza mojamoja kwenye vita kama wengine,hivo alipata ushawishi mkubwa kuwahadaa wengine katika kuweka wapi makao ya UN kwasababu nlizozielezea hapo juu na kwa kipindi hicho UN ilihitajika kutengenezwa mapema iwezekananvyo kama muungalizi mkuu wa usalama dunianii ili kuepuka kujirudia kwa vita tena na kuhakiksha amani duniani,kwahiyo hakukuwa na sehemu nyingine pakuipeleka tofauti na marekani kwasababu sehemu zingine zilikuwa zimeharibiwa sana na vita vya dunia.
Lakini naamini bado kuna avenue ya kubadili makazi halisi ya ofisi hizi na ili kuondokana na ushawishi mkubwa wa maamuzi kutoka USA
 
Wewe unataka headquarter iwe wapi?

Pia niambie jinsi gani mambo yatabadilika headquarter ikiwa nje ya US?
Nachozungumzia hapo ni ushawishi wa USA katika maamuzi au kushinikiza maamuzi dhidi ya wahasimu wake
 
Nachozungumzia hapo ni ushawishi wa USA katika maamuzi au kushinikiza maamuzi dhidi ya wahasimu wake
Kama US inaonekana inashinikiza maamuzi na kufanikiwa basi jua hiyo siyo tatolizo la US hilo ni tatizo la members wanaounda Security Council.

US hawezi fanya maamuzi bila permanent members wa hii council kuridhia.
 
Back
Top Bottom