UN Choppers are rotating over M23 positions in Bunagana!

UN Choppers are rotating over M23 positions in Bunagana!

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
4,201
Reaction score
2,003
Nimeikuta hii kwenye m23 tweets wakilalamika.
My take: Kwani yale ni maeneo ya m23 au ya Congo DRC government ambayo ndio imeomba msaada wa International organs?. Pia wao si walisema ni wababe wa kila kitu,mbona sasa wanatapatapa na propaganda kila dakika kwenye tweeter account yao?. Vijana waJWTZ na wa SANDIF wamesha ji position maeneo yao.Hapo zinapita choppers tu,je zikifika drones zilizoahidiwa itakuwaje?
 
picha huna?

Ukiingia kwenye account ya tweeter ya m23 utaona jinsi wanavyohangaika na kutapatapa. Lakini sehemu nyingi hawajaweka picha. Labda mganga wao ndio kawaambia hivyo!
 
Back
Top Bottom