Umuhimu wa zawadi ktk Mapenzi..

Umuhimu wa zawadi ktk Mapenzi..

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
UMUHIMU WA ZAWADI
KATIKA MAPENZI
wadau mpoooo.. karibuni
katika hii mambo
inayokupa nafasi ya
kutambua umuhimu wa
zawadi katika mapenzi
1. ZAWADI
ZINABORESHA MAPENZI:
Umuhimu wakwanza
wa Zawadi katika
mapenzi ni kuboresha
mapenzi. Faham kuwa
unapompa mpenzi
wako zawadi utamfanya
ajihisi kama niwapekee
kwako hivyo atajiona
kama ni mmoja wapo
kati ya watu wenye
thamani kwako na
ataamini kama kweli
upo karibu yake na
unamjali hivyo
hatashindwa kulipa
mazuri kwako kwa
kukuonesha upendo wa
dhati na utamfanya
azidishe mapenzi
kwako kwani atakua
anajua kuwa wewe
unamjali na
unamuonesha upendo
sasa kwanini nayeye
asikujali?! Hivyo zawadi
yako itakuwa ni njia
moja wapo ya
kuboresha penzi lako
kwa umpendae.
2. ZAWADI
ZINAJENGA KUMBUKUMBU
KATIKA MAPENZI:
Umuhimu wa pili wa
zawadi katika mapenzi
ni kujenga taswira ya
kumbukumbu kwa
mpenzi wako, faham
kuwa unapompa
mpenzi wako zawadi
inakusaidia wewe
kujijenga katika
mawazo yake na
endapo kama itatokea
mkaachana nae basi
pindi mpenzi wako
atakapokuwa anaziona
zawadi zako zitamfanya
akukumbuke kwa
mengi na atahisi kama
kuachana nawewe
kwake kunatofauti na
atajihisi kupoteza vingi
toka kwako na kamwe
kumbukumbu yako
kwake haitofutika kila
azionapo zawadi zako.
Mpenzi msomaji wa
ukurasa huu napenda
nikushauri juu ya
zawadi unazotakiwa
kumpa mpenzi wako
jitahidi pindi
unapohitaji kumnunulia
mpenzi wako zawadi
tafuta zawadi ambayo
itadumu kwa mpenzi
wako kama vile nguo,
card, maua n.k. Isiwe
zawadi ya muda mfupi
isiyotunzika kwa mfano
unaweza kumpa mpenzi
wako hela ila jua
atazitumia zitaisha
utakuwa hujajenga
misingi imara ya
mapenzi. KUMBUKA:
simaanishi kuwa
usimpe mpenzi wako
hela hapana ila inabidi
ufaham kuwa pesa
hutumika katika kukidhi
mahitaji na sio katika
kuboresha mapenzi.

Wanaume tubadilike mana tumezid kutokutoa zawadi.
 
Ph-25 nakubaliana na wewe, zawadi ni kama kachumbari kwenye mahusiano!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo zawadi inategemea unampa nani
mume wa mtu ukampe ua jekundu,
akifika mtaa wa pili tu analirusha porini hukoooo.
 
UMUHIMU WA ZAWADI
KATIKA MAPENZI
wadau mpoooo.. karibuni
katika hii mambo
inayokupa nafasi ya
kutambua umuhimu wa
zawadi katika mapenzi
1. ZAWADI
ZINABORESHA MAPENZI:
Umuhimu wakwanza
wa Zawadi katika
mapenzi ni kuboresha
mapenzi. Faham kuwa
unapompa mpenzi
wako zawadi utamfanya
ajihisi kama niwapekee
kwako hivyo atajiona
kama ni mmoja wapo
kati ya watu wenye
thamani kwako na
ataamini kama kweli
upo karibu yake na
unamjali hivyo
hatashindwa kulipa
mazuri kwako kwa
kukuonesha upendo wa
dhati na utamfanya
azidishe mapenzi
kwako kwani atakua
anajua kuwa wewe
unamjali na
unamuonesha upendo
sasa kwanini nayeye
asikujali?! Hivyo zawadi
yako itakuwa ni njia
moja wapo ya
kuboresha penzi lako
kwa umpendae.
2. ZAWADI
ZINAJENGA KUMBUKUMBU
KATIKA MAPENZI:
Umuhimu wa pili wa
zawadi katika mapenzi
ni kujenga taswira ya
kumbukumbu kwa
mpenzi wako, faham
kuwa unapompa
mpenzi wako zawadi
inakusaidia wewe
kujijenga katika
mawazo yake na
endapo kama itatokea
mkaachana nae basi
pindi mpenzi wako
atakapokuwa anaziona
zawadi zako zitamfanya
akukumbuke kwa
mengi na atahisi kama
kuachana nawewe
kwake kunatofauti na
atajihisi kupoteza vingi
toka kwako na kamwe
kumbukumbu yako
kwake haitofutika kila
azionapo zawadi zako.
Mpenzi msomaji wa
ukurasa huu napenda
nikushauri juu ya
zawadi unazotakiwa
kumpa mpenzi wako
jitahidi pindi
unapohitaji kumnunulia
mpenzi wako zawadi
tafuta zawadi ambayo
itadumu kwa mpenzi
wako kama vile nguo,
card, maua n.k. Isiwe
zawadi ya muda mfupi
isiyotunzika kwa mfano
unaweza kumpa mpenzi
wako hela ila jua
atazitumia zitaisha
utakuwa hujajenga
misingi imara ya
mapenzi. KUMBUKA:
simaanishi kuwa
usimpe mpenzi wako
hela hapana ila inabidi
ufaham kuwa pesa
hutumika katika kukidhi
mahitaji na sio katika
kuboresha mapenzi.

Wanaume tubadilike mana tumezid kutokutoa zawadi.

Ni wanaume tu wanaostahili kutoa zawadi kwa wapenzi wao?
 
Back
Top Bottom