Hii inamaanisha kuwa watu wengi hawana uelewa wa jambo hili
Mm ningependa angedadavua vipengele muhimu wakati was kuandaa mpango mkakatiMleta mada toa mfno tuelewe vzr, wengine tukiona mfn tu tunaelewa kila kitu
Kizibo
Nakaa siti ya mbeleMtoa mada umeleta topiki nzuri sana. Mpango mkakati ni muhimu si kwa taasisi au biashara pekee hata kwa familia. Lazima kuwe na mpango mkakati wa familia kujua mmepanga nn na mtafikia vp. Familia ni Taasisi bila Mpango Mkakati mnaweza msifikie malengo. Sorry nimetoka nje ya mada ya biashara
Kesho nitakuja na nondo za SP
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.Mtoa mada umeleta topiki nzuri sana. Mpango mkakati ni muhimu si kwa taasisi au biashara pekee hata kwa familia. Lazima kuwe na mpango mkakati wa familia kujua mmepanga nn na mtafikia vp. Familia ni Taasisi bila Mpango Mkakati mnaweza msifikie malengo. Sorry nimetoka nje ya mada ya biashara
Kesho nitakuja na nondo za SP
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka ngoja kwanza niamshe amshe ofisi kwenye saa tano hivi nitakuja na nondo kwa sasa pata madini ya kuanzia hapo chini.Mkuu.
Kesho ndio leo sasa tunasubiri nondo, naomba ni tag ukishusha mzigo.
Nakufatilia Mkuu. Mie haya mambo ya kusoma ndio napenda.Nakumbuka ngoja kwanza niamshe amshe ofisi kwenye saa tano hivi nitakuja na nondo kwa sasa pata madini ya kuanzia hapo chini.
LAYOUT OF THE STRATEGIC PLAN
Table of Content
List of Abbreviations
Preface
Executive Summary
CHAPTER 1: INTRODUCTION
1.1. Background Information
1.2. Strategic plan Development Process
1.3. Purpose and Rationale for the Plan
1.4. Layout and the structure of the Strategic plan
CHAPTER 2: SITUATION ANALYSIS
2.1. Mandate , Objects and Functions of the University
2.2. Mission and Vision in 3CSP
2.3. Performance Review
2.4. Internal Analysis
2.5. External Analysis
2.5.1. PESTEL
2.5.2. Stakeholder Analysis
2.6. SWOC Analysis.
CHAPTER 3: THE CSP
3.1. Introduction
3.2. Mission, Vision and Core Values
3.3. KRA, Objectives, Strategies and Targets
CHAPTER 4: RESULT FRAMEWORK
4.1. Introduction
4.2. Monitoring Arrangements
4.3. Evaluation Arrangements
Annex 1: Organization Chart
Annex 2: Summary of the Core elements of the Strategic Plan
Annex 3. Key Indicators
Mwanzo msuri ,lakini hii Ni ya Level kubwa ,vipi kwa mfanya biashara mdogo /biashara binafsiNakumbuka ngoja kwanza niamshe amshe ofisi kwenye saa tano hivi nitakuja na nondo kwa sasa pata madini ya kuanzia hapo chini.
LAYOUT OF THE STRATEGIC PLAN
Table of Content
List of Abbreviations
Preface
Executive Summary
CHAPTER 1: INTRODUCTION
1.1. Background Information
1.2. Strategic plan Development Process
1.3. Purpose and Rationale for the Plan
1.4. Layout and the structure of the Strategic plan
CHAPTER 2: SITUATION ANALYSIS
2.1. Mandate , Objects and Functions of the University
2.2. Mission and Vision in 3CSP
2.3. Performance Review
2.4. Internal Analysis
2.5. External Analysis
2.5.1. PESTEL
2.5.2. Stakeholder Analysis
2.6. SWOC Analysis.
CHAPTER 3: THE CSP
3.1. Introduction
3.2. Mission, Vision and Core Values
3.3. KRA, Objectives, Strategies and Targets
CHAPTER 4: RESULT FRAMEWORK
4.1. Introduction
4.2. Monitoring Arrangements
4.3. Evaluation Arrangements
Annex 1: Organization Chart
Annex 2: Summary of the Core elements of the Strategic Plan
Annex 3. Key Indicators
Nikupe mfano wa biashara ndogo kama ya duka;Mwanzo msuri ,lakini hii Ni ya Level kubwa ,vipi kwa mfanya biashara mdogo /biashara binafsi