msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
.......Hakika tunaingia Weekend njema na Bora Sana...Napenda Kushare na wana Jf juu ya Umuhimu wa Mwanamke kuvaa shanga kiunoni.
..Moja :shanga zikipangiliwa rangi vizuri Zineleta Amasa Sana kwa mwanaume hasa zikiwa na ukubwa wa wastani, si ndogo Sana wala si kubwa Sana.
...Pili. :Shanga ni Sehemu ya Culture, that's why Baadhi Ya Makabira ya kibantu shanga Mwanamke uvalishwa na bibi ama Nyanya Wake.
....Tatu :Shanga zinavaliwa Kama signs/simbols kwa Mwanamke juu ya mume wake, Kama yuko Danger kuna rangi zake, Kama yuko Heat? Au kama Mzuka umemjaaa anataka Mechi, So Shanga Haivaliwi tu hovyo hovyo, Zina maana yake.
NB:Uzuri wa Shanta, Mwanaume uwe na Nywele maeneo ama tumboni, Ndo Zinajifunga funga na minywele, hapo utaelewa shanga nn maana yake.
.....Shanga Pia Baadhi ya makabira wanatumia ili kutengeneza Kiuno vizuri cha Mtoto wa Kike.
Note :Nowdays due to Utandawazi Kumeibuka mambo ya kuvaa cheni Instead Ya kuvaa Shanga, Huu ni U western Tu, but Shanga Bado Iko Juu Sana.
Angalizo :Kama wewe ni mwanamke Na Mumeo hapendi Shanga USIFORCE kuvaa,Coz lengo Ni wote mfurahi na Si Kukwazana.
#OLDISGOLD