Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,741
- 34,837
Never say never!!!Too late
Mohamed Hana haiba ya uongozi hata wa Kundi la WhatsApp. Na kila mwenye kuujua mpira analalamikia uteuzi wake kuwa Nahodha, no body cares uzuri tumewaachia timu Uwanjani tuonane SIMBA DAY baaasi.Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco...
Tunaizungumzia haiba ya Bocco na siyo Bocco mwenyewe.Bocco ngoja apumzike kidogo maana haya yote angekuwa anarushiwa yeye kwa sasa
Aah nikajua unataka Bocco arudiTunaizungumzia haiba ya Bocco na siyo Bocco mwenyewe.
Zanzibar-ASP kuhusu ubora wa Mohamed Hussein uwanjani hakuna anayebisha.
Lakini kuwa Kepteni ni zaidi ya kucheza dakika 90 uwanjani. Wanamichezo wanajua Kepteni ndiyo gundi ya timu.
Hapana... Zama zake zimepita na heshima aliyoipa Simba kama mchezaji na Kepteni haitasahaulika.Aah nikajua unataka Bocco arudi
Umeielewa hoja yangu. Nadhani Mohamedi Hussein amepungukiwa ule ukaka.Swala unahodha tumelalamika muda mrefu Ila viongozi tulionao ndio vichwa ngumu. Simba unahitaji mtu anayeweza kutuliza timu na kufokea wachezaji wazembe.
Basi ngojeni kidogo Chasambi akue atapewa kitambaa huwa ni kiongozi mzuri uwanjani kwa Sasa malizieni na ZimbweHapana... Zama zake zimepita na heshima aliyoipa Simba kama mchezaji na Kepteni haitasahaulika.
Tena wengine walisema anaroga wachezaji. Hii inasikitisha sana.Hali inazidi kua mbaya mpaka mashabk wa Simba tumeanza kumkumbuka boccowakat tulikua tunasema Amezeeka Akalee wajukuuu
Kila jambo na wakati wake. Onana analaumiwa sawa na viongozi pia.hv onani hawamsemi kama aache masihala uwanjani?. viongozi hawasemwi kuwa waache kupokea wachezaji magarasa wa bure?
Hakuna kiongozi anayecheza uwanjani.Tena wengine walisema anaroga wachezaji. Hii inasikitisha sana.
Badala tupinge uongozi uliopo,tunatafuta vitu visivyoeleweka
Msako wa mchawi wa kibonde Simba unaendelea, hapa anatafutwa mtu mmoja wa kumuangushia jumba bovu, kwa kudai ni Tshabalala sijui sio nahodha mzuri , hapo bado sio jibu la kuporomoka kwa simba.Zimbwe ni bonge la mchezaji pale Simba. Ni mtu sahihi kabisa kuwa nahodha. Ni mzoefu, msikivu, mtulivu, mwenye juhudi kubwa na mwenye ushawishi mkubwa miongoni mwa wenzake. Yote kwa yote, ni mchezaji mwenye uhakika wa namba ndani ya Simba huku akicheza dakika zote 90.
Asipokuwa yeye nahodha, nani sasa awe nahodha?