Hapana,nitakuja na hiyo mada hiv karibuni lkn kiufupi mlo Kamili ni mchanganyiko wa vyakula / virutubisho vyote muhimu ktk Makundi ya chakula,mfano Kuwe na protein,carbohydrates,vitamins ,na maji ,nitaelezea kila umuhimu wa kundi la chakula na faida zake na aina zake ,na unaaandaji wake na ratiba ya kula siku nzima,
Mwili unakua fresh mda wote najihisi mwepesi tofauti na siku ikitokea sijapata maji.
Nakunywa pombe kali sometimes ko najitahidi ku clear mkausho wa maji hata ikitokea nimekunywa huwa sipati hangover kizembe