Dr James G
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 159
- 273
Hiyo wengi hatuwez kutokana na nature zetu, binafsi huwa na kunywa lita 1.5 kila siku
Kunywa maji mengi pia sio vizuri kwa afya yako kijana, everthing toomuch is harmfull.
Kunywa unapohisi kiu, kunywa kidogo sana pale usipohisi kiu.
Kugugumia hayo malita kwa siku sio njema kiafya pia.
Lita 3+ plus nazikata per day
Kunywa maji mengi pia sio vizuri kwa afya yako kijana, everthing toomuch is harmfull.
Kunywa unapohisi kiu, kunywa kidogo sana pale usipohisi kiu.
Kugugumia hayo malita kwa siku sio njema kiafya pia.
Maji yanaendana na kilograms zako mkuu, sio tu kwamba ukijisikia kiu ndo unatakiwa unywe majiKunywa maji mengi pia sio vizuri kwa afya yako kijana, everthing toomuch is harmfull.
Kunywa unapohisi kiu, kunywa kidogo sana pale usipohisi kiu.
Kugugumia hayo malita kwa siku sio njema kiafya pia.
Maji yanaendana na kilograms zako mkuu, sio tu kwamba ukijisikia kiu ndo unatakiwa unywe maji
Asubuhi nikiamka nina kikombe cha nusu lita nakikata, baadae nikipiga tea nanunua maji ya lita 1, mpaka lunchtime hayapo, saa 8 hv nadaka mengine ya lita1 mpaka muda wa kurudi home yameisha, nikifika home najaza kabisa kikombe changu cha nusu lita mpaka muda wa kulala kimeisha, hiyo ni ratiba dailyUko vzr [emoji1635]
Nashangaa mtu ananunua maji ya lita1 asubuhi hadi jioni, yaani hayo nikiweka mdomoni nikishusha yapo katikati, maji ni dawa kubwa sana ni vile watu hawajui tuWapo wagonjwa ambao kutoka na maradhi yao ya kimfumo huwa wanashauriwa kupunguza kiwango cha maji kwan unakuta mifumo yao hairuhu Taka mwili kutoka nje kwa njia ya Kukojoa ,lkn ni had Ushauriwe na wataalamu mbali na piga maji kwa uwezo wa mwili wako sio had upate kiu
Asubuhi nikiamka nina kikombe cha nusu lita nakikata, baadae nikipiga tea nanunua maji ya lita 1, mpaka lunchtime hayapo, saa 8 hv nadaka mengine ya lita1 mpaka muda wa kurudi home yameisha, nikifika home najaza kabisa kikombe changu cha nusu lita mpaka muda wa kulala kimeisha, hiyo ni ratiba daily
Nashangaa mtu ananunua maji ya lita1 asubuhi hadi jioni, yaani hayo nikiweka mdomoni nikishusha yapo katikati, maji ni dawa kubwa sana ni vile watu hawajui tu
Inategemea na ratiba ya siku hasa nikiwa sehemu ambayo sitaki kwenda kukojoa mara kwa mara, ila nikishinda geto kukata 3L and more ndo routine, siku nyingine 2L everyday
Ujumbe mzuri.