Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 780 Reaction score 692 Aug 30, 2026 #1 Ukiwa sehemu ambayo sio sahihi, hata utoe kilicho bora zaidi kwako, wala hakitatosha. Lakini ukiwa sehemu sahihi, uwepo wako tu unatosha kuwa sababu ya kusherehekewa na kuthaminiwa.
Ukiwa sehemu ambayo sio sahihi, hata utoe kilicho bora zaidi kwako, wala hakitatosha. Lakini ukiwa sehemu sahihi, uwepo wako tu unatosha kuwa sababu ya kusherehekewa na kuthaminiwa.
Vladimirr JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 572 Reaction score 621 Aug 30, 2026 #2 Maneno kuntu ila hiyo dp ndiyo inahalibu
Psalm_27 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2026 Posts 1,161 Reaction score 2,226 Aug 30, 2026 #3 Sehemu sahihi ni wapi mkuu!