issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,139
Kuoa kuna umuhimu lakin pia ni jambo linalotakiwa kufanywa upesi kwa wahusika ila kuna ulazima gan wa kukimbilia kuoa au kuolewa kwa kigezo cha umri umesogea?kwa maana wasichana wengi baada ya kumaliza vyuo asilimia kubwa hukimbilia kutaka kuolewa ni kwann?