kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
kunyulula ni nn KISIKI kibichi........Inasaidia kuounguza msongo Wa mawazo...pili inasaidia Kuondoa Uwezekano Wa kupata stroku..
Licha ya kuwa Raha,pia ni Tiba
.
Tufanye sana
Kunyunyula Ndo kufanyaje mkuuHebu nianze rasmi kunyulula
Kunyunyula Ndo kufanyaje mkuu
Sasa unanyunyulaje wakati hujuiHata mie sijui mkuu ni nini
Sasa unanyunyulaje wakati hujui
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We jamaa utakuwa mruka ukuta tuu,.
Mimi nisiyejua maana ya kunyulula hizi faida nimezikosa........Inasaidia kuounguza msongo Wa mawazo...pili inasaidia Kuondoa Uwezekano Wa kupata stroku..
Licha ya kuwa Raha,pia ni Tiba
.
Tufanye sana
We jamaa utakuwa mruka ukuta tuu,.