Samily de cruze
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 230
- 683
Pia anaweza akawa kama customer service, assistant accountant, store keeper n.k
Vyuo vyote vinavyotoa kozi za biashara CBE, IFM, mzumbe, NIT, SAUT nk ingia tcu guiding book uone vyuo na kozi mbalimbali zinazotolewa kila la kheri mkuu.
Ifm hakuna koz kma hiyoVyuo vyote vinavyotoa kozi za biashara CBE, IFM, mzumbe, NIT, SAUT nk ingia tcu guiding book uone vyuo na kozi mbalimbali zinazotolewa kila la kheri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sasa kwa kozi ipi ya biashara ambayo ukiisoma unakuwa haupo limited yaan hakuna kusema kwamba unafanya kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja au miezi then una shift plz niambiebusiness administration, ni kozi inayohusiana na utawala katika biashara, now looking at it, it's too general! and not specific to a certain area, kwa kifupi unaweza fanya kazi nyingi sana but zile ambazo hazihitaji professionalism mfano, unaweza kuwa assistant accounts, hr officer/trainee, customer service, marketing officer, sales officer, receptionist, cashier, operations officer, call center agents, and others
kwa kifupi wewe unaweza kupachikwa kokote but utakuwa uko limited endapo watahitaji mtu professional wanaweza kukuacha wewe wakaajiri mwingine!
kozi hii ni similar to MBA tofauti ni kwamba MBA ni advanced kwa BBA.
Mzumbe hakuna BUSINESS ADMNISTRATION PLAIN na huwezi kuwa mhasibu kwa kusoma Business adminstration plain. Msipende kuwaingiza chaka wenzenu.Vyuo vyote vinavyotoa kozi za biashara CBE, IFM, mzumbe, NIT, SAUT nk ingia tcu guiding book uone vyuo na kozi mbalimbali zinazotolewa kila la kheri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani hii course ina hesabu?business administration, ni kozi inayohusiana na utawala katika biashara, now looking at it, it's too general! and not specific to a certain area, kwa kifupi unaweza fanya kazi nyingi sana but zile ambazo hazihitaji professionalism mfano, unaweza kuwa assistant accounts, hr officer/trainee, customer service, marketing officer, sales officer, receptionist, cashier, operations officer, call center agents, and others
kwa kifupi wewe unaweza kupachikwa kokote but utakuwa uko limited endapo watahitaji mtu professional wanaweza kukuacha wewe wakaajiri mwingine!
kozi hii ni similar to MBA tofauti ni kwamba MBA ni advanced kwa BBA.
Inakuwa hivi,labda 1st degree ni BSc in Mechanical engineering, 2nd Master of Business AdministrationSijaelewa unamaanisha kuwa katika BA kuna mambo yanayo husu engineering or medical????
Sent using Jamii Forums mobile app
zipo za kutosha, yani karibia kila somo lina hesabu, nimeisoma hii
kama ni form itabidi uanze na certificate, cha msingi uwe na cheti cha form hata kama kina D zote sio zeroIyo ni business administration si ndy je na kwa mtu anae jiunga na hii koz akiwa anatokea kidato cha nne qualification zake ni zipi
Sent using Jamii Forums mobile app