Umuhimu wa Kissing au DENDA

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,510
9,349
Katika maisha ya kawaida, kissing hufanyika baina ya watu wenye hisia za mapenzi aidha ya kaka na dada, mzazi na mwanae au rafiki kwa rafiki.

Mtu anaweza kupewa kiss maeneo tofauti tofauti kama vile shingoni, kwenye paji la uso, shavuni au mdomoni kulingana na mahusiano ya wanaopeana kiss.

Kwa upande wa wapenzi(lovers) , kiss ni kiungo muhimu sana cha kuamsha hisia za mapenzi na mahaba..mara nyingi lovers hupeana kiss shingoni, shavuni au mdomoni moja kwa moja..

Kiss la mdomoni moja kwa moja huweza kuambatana na kula DENDA kutegemeana na mazingira mliyopo..

DENDA ni kitu muhimu sana kwa wapendanano kwani huamsha hisia zilizopitiliza za kimahaba..

Umuhimu wa DENDA ni........

1...Kuondoa stress...basi kama ulikuwa hujui, denda huondoa stress kwa kiasi kikubwa.

2..Denda hutengeneza bond imara baina ya wapendanao.

3...Denda huchochea hormone za furaha kufanya kazi yake vizuri.

4...Kiss la mdomoni au denda hupunguza shinikizo la damu

5...Kissing au denda humaliza maumivu ya kichwa

6...Denda huchochea tezi mate kufanya kazi ya kizalisha mate kwa ufasaha

7...Denda huongeza hamu ya kufanya tendo la kujamiiana.

8...Denda huonheza raha na utamu wakati wa kufika kileleni..

Hii ni baadhi tu ya umuhimu wa denda..

Denda ni raha sana endapo wala denda watakuwa wameswaki vizuri.

....jamni ili kupata hizo faida hapo juu, tupeane denda bila choyo au kuogopana.

Nakutakia ulaji mwema wa DENDA
FB_IMG_1563044773981.jpeg
 
Denda nzuri upige uku mnaexchange tende au ubuyu wa Babu Issa hapo lazima mtoto wa kike asinzie kwa utamu
 
Back
Top Bottom