Sasa shivi serikali, wanafanya juhudi ya kuwapeleka wanafunzi wa vyuo kwenye kilimo nakuwapa mitaji ni jambo jema; fikiria wakulima walioko vijijini ambao wamezoea kilimo cha enzi na enzi; tutawasaidia vipi?
Tumeona kampeni mbalimbali zinazofanywa huleta matunda yenye tija. Kama kweli kilimo ni uti wa mgongo katika nchi hii ni muhimu kuwekeza kwenye elimu ya kilimo na mifugo kimaeneo. Hao wa VETA na Vyuo vya jumuia watakula hivyo viwanda vyao au....