Uko nyumbani kwako muda huu,unatafakari mihangaiko yako ya kuanzia jumatatu hadi leo jumapili;unajiuliza kesho jumatatu inaanza tena kwa mchaka mchaka uleule na siku zinajirudia rudia.....hii inamaanisha maisha yetu ni mafupi sana.Kila mmoja anaumuhimu wake katika dunia hii...