Umuhimu wa kifungua kinywa katika kuianza siku mpya

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Kupata kifungua kinywa ni namna nzuri ya kuianza siku yako, huupa mwili nishati ya kutosha unapoanza kuyakabili majukumu ya siku mpya.

Kwa wanafunzi, tafiti za kisayansi zinaonesha umuhimu wa mlo huu kwenye kuongeza uwezo wa ubongo katika kufikiri, kutunza kumbukumbu, kushiriki kikamilifu mazoezi mbalimbali wanayopewa pamoja na kujifunza mambo mapya hivyo kuongeza nafasi ya kufanya vizuri zaidi darasani.

Matumizi ya vyakula vyenye protini nyingi, nyuzi nyuzi, matunda na nafaka nzima hushauriwa muda huu ili.

Chanzo: International Food Information Council Foundation / HopkingsMedicine
 
Back
Top Bottom