Boflo acha masihara yako kwani waliozitumia wana maumbile ya hivo? Kwani wewe ulizipata wapi na namna gani? Au wewe ndo unatumia ha'fu unaanika kwa matumizi ya kesho/ badaye?
mh! tuwe makini si unjua juzi wameteketeza contena zima zilikua hazina viwango?bora kuwa na mmoja au kuacha kabisa hayo madude hayana issue wajameni.Tusipokuwa makini tutaisha.