Umri Wa mtoto kugeuka tumboni

Umri Wa mtoto kugeuka tumboni

dorrine

New Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Habar zenu, km mada inavyosema mm mama k week 28, nimeenda kuchek ultrasound kwa ajl ya kujua mimba ina miez mingap exactly kwan nilikuwa nachanganya tarehe ya mwisho Wa mzunguko, cha ajab nimeambiwa nina week 28 na mtoto amelala vibaya bado hajageuka kwahyo nimeambiwa naweza kujifungua kwa operation , swali lng ni kwamna je mtoto akilala vibaya anakuwa amelalaje? Je anatakiwa kugeuka week ya ngapi?? Je nifanye nn ili mtoto aweze kugeuka?? Naomben ushaur nimekosa aman
 
Ulisahau kuulizia hapo ulipoenda kwa ajili ya Vipimo? Au ?

Hapa utapata majibu tofauti.
Kuna waliogeuka wiki za mwishoni 35-37
Kuna waliogeuka siku chache tu kabla ya kufanyiwa operation aliyopangiwa....

Bado ni mapema kwa wiki 28 kuwa na wasiwasi. .

Kuhusu cha kufanya ageuke....sina uhakika sana na ninavyosikia.

Jipe Muda na mwache atageuka mwenyewe.

Kila la Kheri.

Usisahau mrejesho.
 
Mmmmh huyo Wa ultrasound mmmmhhhh!!!! OK anywey mkuuu ,,,nimesoma ivi na naelewa hivi
Mtoto huanza kucheza tumbon akiwa na week 20 ,mtoto hugeuka tumbon kuanzia week ya 36 mana yake kwa muda huo mwingne mtoto anaweza akawa analala mlalo tofaut tofaut tumbon Leo yuko iv badae yuko iv ila.akifkisha week hzo 36 ndo anakua amegeuka kichwa chin mgongo pemben na miguuu na mikono pemben yaaan laterally ,hapo ndo mtaalam (ANC) ANAEWEZA KUKWAMBIA KUWA MWANAO KALALA.VIP ,amin nachokuambia nawahudumia wamama.nazalisha wamama daily HAPO NDO UTAJUA MLALO WA MTOTO NA KATANGULIZA NIN.
 
NDUGU PLEASEEEEE NDUGUUUU USIJE THUBUTU KUJIFUNGUA KWA OPERATION ASEEEEEEE

USHUUUDA

NIPO NA KAA NA ***MARRIED *****MAJIRANI HAPA JUST THEIR ARE 2 YEARS MTAA KAPUNI SIDE EFFECTS ANAZOPATA maza hahusi alooooooo

JUST WASILIANA NA WATAALAMU ILI MTAFUTE NJIA NYINGINE YA kumuweka mtoto sawa sawa aseeeee

muda bado

NI HAYO TUU.
Sena imekuaje. Mbona unaandika kihuni ivo af wewe mtoto wakike,? Msaidie mwenzio kama unajua na si lazima ukoment kama unaona Post yako haina msaada.
 
we endelea na clinic kama kawaida bila wasiwasi, hakuna wiki kamili ya mtoto kugeuka hivyo kwako bado usiwaze.
 
Habar zenu, km mada inavyosema mm mama k week 28, nimeenda kuchek ultrasound kwa ajl ya kujua mimba ina miez mingap exactly kwan nilikuwa nachanganya tarehe ya mwisho Wa mzunguko, cha ajab nimeambiwa nina week 28 na mtoto amelala vibaya bado hajageuka kwahyo nimeambiwa naweza kujifungua kwa operation , swali lng ni kwamna je mtoto akilala vibaya anakuwa amelalaje? Je anatakiwa kugeuka week ya ngapi?? Je nifanye nn ili mtoto aweze kugeuka?? Naomben ushaur nimekosa aman
Dada vipi ulijifungua salama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom