Umri upi ni ukomo wa kuota meno?

Habari za weekend wakuu! Nina almost 28yrs but still naendelea kuota meno, Doctors and Mentors huu ni ugonjwa? Tatizo nn? Au kawaida! Msaada tafadhali!
Wataalamu tusaidieni kujua hili jamani maana haya meno ya kuota uzeeni yanauma balaa.
 
Habari za weekend wakuu! Nina almost 28yrs but still naendelea kuota meno, Doctors and Mentors huu ni ugonjwa? Tatizo nn? Au kawaida! Msaada tafadhali!
Mtoto huanza kuota meno akiwa na umri wa miezi 6 na hayo huwa ni meno ya muda tu tunaita milk teeth ambayo huanza kuondolewa na meno ya kudumu kuanza kuota.

Mtoto akifikisha umri wa miaka 13 huwa na meno 28 ya kudumu na kubakiza meno 4 ambayo ni magego makubwa ambayo huanza kuota akiwa na umri wa miaka 17 hadi 25 ambapo meno yote 32 huwa yameota yote.

Sababu za meno kuchelewa kuota baada kufika mtu mzima inaweza kuwa vinasaba vya mtu mwenyewe,au uvimbe katika mizizi ya meno na zingine nyingi tu.
 
Mimi jino la 32 liliota nikiwa na 31years, lilinitesa mno kwa maumivu makali mno mpaka nikaenda hospital kupewa dawa za maumivu!!
 
Ulitumia dawa gani nisaidie tafadhali nahisi kuna gego linaota yani nahisi maumivu sana kama sikio na shingo inavutwa na uzi
 
Kama jumla 32 ni sawa ila kama zaidi ya 32 nenda hospital wakayang'oe usije kuwa kama kwenye avatar yako.
 
Back
Top Bottom