CPU,umetoa ushauri wa hekima sana,isipokuwa tu kwenye hizo red,hayo mambo siku zote ndo huwa nayakataa,'kuoa kwa sababu ya....',hapa unaongelea kuoa kwa sababu ya kukwepa upweke uzeeni,kuwa na nesi wa uhakika,kutunzwa....jamani hizi ndizo SABABU za kuoa kweli? ina maana kama nina invest kwenye 'nursing home' nikalipia pesa kabisa wakati wa ujana wangu basi kwa msingi huu sitakuwa na sababu ya kuoa kwa sababu uzee wangu uko secured?
Bishanga ndugu
Sababu ya kuoa kwangu ni UPENDO.
Na mimi kusema hayo uliyoyakosoa si kwamba ndio SABABU ZA KUOA. Hapa umenielewa vibaya.
Kama kuna mtu ameoa au anataka kuoa/ameolewa au anataka kuolewa ili kutimiza KUPATA KITU FULANI basi nampa pole.
"Mjukuu wangu, UPENDO ndio jina kuu la maisha yako"
RIP my lovely Grandfather M.M.M
nafanya kazi jumatatu mpaka ijumaa,jumamosi nafanya kazi za usafi kufua kusafisha nyumba na kuosha gari,nimegundua nimeshazoea maisha hayo,kusema kweli nimejaribisha baadhi ya wanawake wengine walikuja kuishi na mimi lakini sikupendezwa kabisa na character zao,nina watoto wawili kila mmoja na mama yake,nina mpango wa kuwachukua nitafute mtu wa kazi tuendelee na maisha,mama zao nimeshindwa kuishi nao,nafikiri i am too sensitive!thats all
Ahahahahhaha eti you are too sensitive!!Kama umeweza kuzaa nao wote wawili alafu sasa hivi unasema ulishindwa kuishi nao mara sijui hupendi character zao naanza kuhisi wewe ndio tatizo na sio wao.Jichunguze!!
Sikiliza MOYO wako then fanya kile ambacho utakisikia kutoka moyoni mwako.lakini kama nina matatizo mbona mmoja wa dada wa hao wanawake kaniambia dada yake ananimiss?in general naona maisha yote hapa duniani ni matatizo tuu
Tunashindwa kukuelewa mtori! Lazima uheshimu kile ambacho kinakupa furaha maishani mwako, kama umeona kutooa ndicho kikupacho furaha, is okey! Ila kila ujue kuwa kila kitu hupangwa na mungu , hata uzee utaishije? Mungu ndiye anajua, kutokana na sababu walizoeleza wenzangu kuwa uoe mke ili awe nesi wako baadaye nina shaka! Kwani chochote chaweza tokea katikati kama mungu akiamua kumchukua mapema? Ila usipuuze kuoa kwani huchangia umri mkubwa.
Ahahahahhaha eti you are too sensitive!!Kama umeweza kuzaa nao wote wawili alafu sasa hivi unasema ulishindwa kuishi nao mara sijui hupendi character zao naanza kuhisi wewe ndio tatizo na sio wao.Jichunguze!!
sina matatizo kama bao napiga vizuri