Mshubi wa Rulenge
Member
- Jan 8, 2015
- 23
- 8
Aya ngoja waje mwaya..all the best Ila najiuliza makanisa yote ya mwanza hamna mpaka uje huku?
ha ha ha ha ha! kwani wachumba wanapatikana kanisani tu!!?
humu JF Utapata wauongo tu. eti 'MSHUBI WA LULENGE', jina tu linatisha ndo maana umri unaenda dada. Nakushauri ujiite angalau 'BABY'
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx
primary? o level? a level? chuo? kazini ndo unatafuta? hehehehe ngoja wajeee!!!!
Haya vijana majasiri wa kanda ya ziwa mchangamkie fursa hiyo....
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx
kwani huko watu wanaenda kusoma au kutafuta wachumba??